tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 16 Julai ni siku ya 197 ya mwaka (ya 198 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 168.
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Bikira Maria wa Mlima Karmeli, pia za watakatifu Antioko wa Anastasiopoli, Atenogene, Eleri, Monulfi, Gondulfi, Reinilde, Grimoaldi na Gondolfi, Sisenandi, Bartolomeu wa Braga, Andrea wa Soveral na wenzake, Maria Magdalena Postel, Lang Yangzhi, Paulo Lang Fu, Teresa Zhang Hezhi n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.