Ziwa Malombe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ziwa Malombemap

Ziwa Malombe ni ziwa linalopatikana kusini mwa nchi ya Malawi [1].

Ukweli wa haraka Mahali, Anwani ya kijiografia ...
Ziwa Malombe
Thumb
linavoonekana kutoka angani
Mahali Upande wa kusini
Anwani ya kijiografia 14°40′0″S 35°15′0″E
Mito ya kuingia Mto Shire kutoka Ziwa Malawi
Mito ya kutoka Mto Shire
Nchi za beseni Malawi
Eneo la maji Kilomita za mraba 450
Kina cha wastani Futi 6 - 8
Funga

Eneo la ziwa ni kilomita za mraba 450. Ziwa lina kina kifupi ambacho kinakadiriwa kuwa ni mita 1.8 hadi 2.4.

Mto Shire unapita katika ziwa Malombe.

Tanbihi

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.