From Wikipedia, the free encyclopedia
Ziwa Chiuta ni ziwa lenye kina kifupi linalopatikana katika mpaka kati ya Malawi na Msumbiji. Lakini pia linapatikana katika ukanda wa kaskazini mwa Ziwa Chilwa na kusini mwa Ziwa Amaramba.
Ziwa Chiuta lina kina cha urefu kati ya mita 3–4 na lina kilomita za mraba kati ya 25 mpaka 130, ambazo zinategemeana na msimu wa mvua.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.