From Wikipedia, the free encyclopedia
Yohane Twenge (pia: John of Bridlington, John Thwing, John of Thwing, John Thwing of Bridlington; Thwing[1], 1320 - 10 Oktoba 1379) alikuwa kanoni Mwaugustino wa Uingereza ambaye alisifiwa kwa sala, ugumu wa maisha, upole, uadilifu, elimu, ukarimu na karama[2].
Papa Bonifas IX alimtangaza kuwa mtakatifu mwaka 1401[3].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.