Mchoro mdogo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mchoro mdogo

Mchoro mdogo ni mchoro uliofanyika hasa katika vitabu vilivyoandikwa kwa mkono.

Thumb
Mkusanyo wa michoro midogo ya karne ya 18, Makumbusho ya Taifa, huko Warsaw, Polandi.

Kuanzia karne ya 16, hasa Uingereza na Ufaransa, matajiri walipenda kuchorwa namna hiyo hadi ilipobuniwa kamera katikati ya karne ya 19. Lengo lilikuwa kujitambulisha kwa watu wa mbali, kwa mfano kwa ajili ya ndoa, au kuwa na kumbukumbu ya mtu mpendwa wakati wa kuwa mbali naye.

Udogo wa mchoro ulifikia pengine mm 40 × 30.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.