Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yohane Kasiano (Scythia Minor, leo Dobruja, Bulgaria, 360 hivi[1] - Marseille, Ufaransa 435 hivi) alikuwa mmonaki padri na mwanateolojia aliyeathiri sana Ukristo, hasa kwa njia ya vitabu vyake "Miundo ya Kimonaki" "Maongezi ya Mababu", anapoeleza aliyofundishwa na wamonaki wa nchi mbalimbali kuhusu maisha ya kiroho[2].
Pia alianzisha monasteri mbili, ya kiume na ya kike.
Anaheshimiwa kama mtakatifu na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waanglikana.
Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 23 Julai[3] au tarehe 29 Februari (tarehe 28 katika miaka mifupi).
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.