Eneo bunge la Yatta ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Machakos, Mashariki mwa Kenya, ni miongoni mwa majimbo nane ya kaunti hiyo.

Historia

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kwanza wa Kenya mnamo 1963.

Wabunge

Maelezo zaidi Uchaguzi, Mbunge ...
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963Gideon Munyao MutisoAPP
1969Gideon Munyao MutisoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Simon Kitheka KiiluKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Richard Matheka KakoiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Gideon Munyao MutisoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Gideon Munyao MutisoKANU
1997Francis P. WambuaSDP
2002James Philip MutisoKANUMutiso aliaga dunia kutokana na mafuriko mnamo 2003 [2]
2003Charles KilonzoNARCUchaguzi Mdogo
2007Charles KilonzoODM-Kenya
Funga

Kata na Wodi

Maelezo zaidi Kata, Idadi ya Watu ...
Kata
Kata Idadi ya Watu
Ikombe18,062
Katangi10,972
Kinyaata18,635
Kithimani25,974
Kyua11,950
Matuu27,794
Mavoloni17,446
Ndalani22,152
Jumla152,985
Funga
Maelezo zaidi Wodi, Wapiga Kura Waliojiandikisha ...
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Baraza la Utawala wa Mitaa
Kakumini/Central6,085Matuu (Mji)
Kithendu3,930Matuu (Mji)
Kithimani4,549Matuu (Mji)
Katulani / Kaluluini4,145Matuu (Mji)
Ikombe6,693Masaku county
Katangi / Kyua7,411Masaku county
Kinyaata6,343Masaku county
Mavoloni5,817Masaku county
Ndalani8,072Masaku county
Jumla53,045
*Septemba 2005 [3].
Funga

Tazama Pia

Marejeo

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.