From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Kajiado ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Ilikuwa na jumla ya wakazi 406,054 na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 21,903 . Wilaya hii ilipakana na mji wa Nairobi na kuendelea hadi kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania kusini zaidi.
Makao makuu yalikuwa mjini Kajiado.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kajiado.
Serikali za Mitaa(Baraza ya Miji) | |||
Serikali ya Mtaa | Aina | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Kajiado | mji | 12,204 | 9,128 |
Olkejuado | Baraza la mji | 393,850 | 71,223 |
Jumla | - | 406,054 | 80,351 |
Wilaya hii ilikuwa imegawanywa katika taarafa saba za utawala. Tarafa mpya ya Isinya haijajumuishwa kwenye jedwali lifuatalao kulingana na sensa ya 1999:
Kulikuwa na maeneo bunge matatu katika wilaya hiyo:
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.