uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mudji la Entebbe From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe (IATA: EBB, ICAO: HUEN) uwanja wa ndege wa kimataifamkuu wa Uganda. Iko karibu na mji wa Entebbe, pwani ya Ziwa Victoria, na takriban kilomita 35 (Maili 21) kutoka mji mkuu wa Kampala. Ofisi kuu za Shirika la Urobani Uganda ziko katika uwanja wa ndege huu.
Entebbe International Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: EBB – ICAO: HUEN | |||
Muhtasari | |||
Aina | Civilian and Military | ||
Opareta | Civil Aviation Authority of Uganda | ||
Serves | Entebbe, Kampala, Mukono | ||
Mahali | Entebbe, Uganda | ||
Mwinuko Juu ya UB |
3,782 ft / 1,153 m | ||
Anwani ya kijiografia | 00°02′40″N 32°26′33″E | ||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
17/35 | 3,658 | 12,000 | Asphalt |
12/30 | 2,408 | 7,900 | Asphalt |
Source: DAFIF[1][2] |
Jengo la abiria lilijengwa katikati hadi mwishoni mwa miaka ya 1970. Uwanja mzee wa ndege wa Entebbe hutumiwa na vikosi vya kijeshi ya Uganda na ilikuwa eneo la operesheni kuwaokoa mateka na Israel Sayeret Matkal, operesheni Entebbe, mwaka wa 1976, baada ya Kiarabu-Kijerumani kuteka nyara Air France nambari 139 nje ya Tel Aviv.
Eneo la uokozi huo ulifanyika "uwanja wa ndege wa zamani", ambao hivi karibuni ulibomlewa isipokuwa chumba cha udhibiti. Katika mwishoni mwa mwaka wa 2007,kituo cha matumizi ya nchi kilijengwa katia eneo hilo la uwanja wa ndege wa zamani, na kuacha ya "uwanja wa ndege mpya" kushughukia mambo ya kimataifa. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe ulihudumia abiria 720.000 wa Kimataifa mwaka wa 2007. (+10,7% Vs 2006). [3] Takwimu ya kuingia mwaka wa 2008 ilikadiriwa kuwa 850.000 (+18,1% vs 2006) [4]
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe eneo la shirika la Usalama la Kijeshi ya Marekani . [5] Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe unatumia mfumo wa kupanda ndege wa {{0}daraja.
Makampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
Africa Safari Air | Kampala - Entebbe |
African Safari Airways | Nairobi |
Air Burundi | Bujumbura |
Air Uganda | Nairobi, Mombasa, Juba, Khartoum, Dar es Salaam, Zanzibar, Goma |
British Airways | London-Heathrow |
Brussels Airlines | Brussels |
Eagle Air | Arua, Gulu, Moyo, Kidepo, Kitgum, Pakuba, Juba, Yei, Bunia |
EgyptAir | Cairo |
Emirates | Dubai |
Ethiopian Airlines | Addis Ababa, Lilongwe |
Fly540 | Nairobi |
Kenya Airways | Nairobi |
KLM | Amsterdam |
Precision Air | Kilimanjaro, Mwanza |
Royal Daisy Airlines | Juba |
RwandAir | Kigali |
Skyjet Airlines | Juba, Khartoum |
South African Airways | Johannesburg |
Sudan Airways | Khartoum |
United Airlines Limited | Gulu, Arua |
Makampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
Avient Aviation | Châlons-Vatry |
Great Lakes Airways | Brussels, Dubai |
Martinair [6] | Amsterdam |
Uganda Air Cargo | Dubai, Johannesburg, Frankfurt, London |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.