From Wikipedia, the free encyclopedia
Timolai na wenzake Dionisi, Pauside, Romulo, Aleksanda, Aleksanda mwingine, Agape na Dionisi mwingine (walifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 303) walikuwa Wakristo ambao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano waliteswa kwa sababu ya imani yao na hatimaye walikatwa kichwa[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.