Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Theodor Seuss Geisel (2 Machi 1904 – 24 Septemba 1991) alikuwa mwandishi na mchoraji vielezo kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa vitabu vyake kwa watoto alivyoviandika chini ya jina la Dr. Seuss.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theodor Seuss Geisel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Theodor Seuss Geisel | |
Amezaliwa | 2 Machi 1904 Massachusetts, Marekani |
---|---|
Amekufa | 24 Septemba 1991 California, Marekani |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Ndoa | Helen Palmer Geisel (1927–1967) Audrey Stone Dimond (1968–1991) |
Tovuti | http://www.seussville.com/ |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.