From Wikipedia, the free encyclopedia
The Princess and the Frog ni filamu ya katuni-muziki ya Kimarekani ya mwaka wa 2009 iliyotayarishwa na Walt Disney Feature Animation na kutolewa na Walt Disney Pictures tarehe 11 Desemba 2009. Hii ni filamu ya 49 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics, na ilikuwa ya kwanza kutolewa na Disney kwa upande wa katuni tangu mwaka wa 2004 ilipotoa filamu ya Home on the Range.
The Princess and the Frog | |
---|---|
Imeongozwa na | Ron Clements John Musker |
Imetayarishwa na | Peter Del Vecho John Lasseter (Executive producer) |
Imetungwa na | Ron Clements John Musker Rob Edwards (Screenplay) Ron Clements John Musker Greg Erb Jason Oremland Don Hall (Story) |
Nyota | Anika Noni Rose Bruno Campos Keith David Michael-Leon Wooley Jim Cummings Jenifer Lewis John Goodman Oprah Winfrey Jennifer Cody Peter Bartlett Terrence Howard |
Muziki na | Randy Newman |
Imehaririwa na | Jeff Draheim |
Imesambazwa na | Walt Disney Pictures |
Imetolewa tar. | Novemba 25, 2009 (Los Angeles premiere) Desemba 11, 2009 |
Ina muda wa dk. | Dk. 97 |
Nchi | Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Bajeti ya filamu | $105 million[1] |
Mapato yote ya filamu | $269,312,336[2] |
Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na Anika Noni Rose, Oprah Winfrey,[3] Keith David, Jim Cummings, John Goodman, Jenifer Lewis, Bruno Campos, Michael-Leon Wooley, Peter Bartlett na Terrence Howard.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.