Sylvester Stallone

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sylvester Stallone

Sylvester Gardenzio Stallone[1] (amezaliwa tar. 6 Julai 1946), amepewa jina la utani kama Sly Stallone,[2] ni mshindi wa Tuzo za Academy - akiwa kama mwigizaji, mwongozaji na mwindishi-skrini bora wa filamu wa Kimarekani.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Sylvester Stallone
Thumb
Sylvester Stallone mnamo 2012
Amezaliwa Sylvester Gardenzio Stallone
6 Julai 1946 (1946-07-06) (umri 78)
New York, Marekani
Kazi yake Mwigizaji, Mwongozaji, Mtunzi
Miaka ya kazi 1970–mpaka sasa
Ndoa Sasha Czack (1974–1985)
Brigitte Nielsen (1985–1987)
Jennifer Flavin (1997–mpaka sasa)
Funga

Huyu ni mmoja kati wa watu walioingiza fedha nyingi sana katika sanduku la ofisi kwa miaka ya 1970 na 1990. Sylvester Stallone, ni kioo na shujaa wa filamu za mapigano. Amecheza nyusika mbili ambazo ni mashuhuri sana: Rocky Balboa, mwana-masumbwi mmoja aliyeshinda mashindano kwa kupigana kwa upenzi na imani, na John Rambo, askari shupavu aliyefanya kazi za hatari vitani.

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.