Stefano wa Nisea
From Wikipedia, the free encyclopedia
Stefano wa Nisea (alifariki Reggio Calabria, Italia, 78 BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo wa Calabria (Italia Kusini) kuanzia mwaka 61 hadi kifodini chake.

Mfuasi wa Mtume Paulo, inasemekana alifika huko pamoja naye.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.