Masokwe mtu ni wanyama wakubwa wa jenasi Pan katika familia Hominidae (masokwe wakubwa). Masokwe hawa wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Sokwe Mtu |
Sokwe mtu wa kawaida (Pan troglodytes) katika bustani ya wanyama |
Uainishaji wa kisayansi |
Domeni: |
Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
|
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
|
Nusuoda: |
Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
|
Oda ya chini: |
Simiiformes (Wanyama kama kima)
|
Familia ya juu: |
Hominoidea (Masokwe)
|
Familia: |
Hominidae (Masokwe wakubwa)
|
Nusufamilia: |
Homininae
|
Kabila: |
Hominini
|
Jenasi: |
Pan
|
|
Ngazi za chini |
Spishi 2:
|
Msambao wa (nusu)spishi za sokwe mtu: nyekundu - P. paniscus, buluu - P. t. schweinfurthii, zambarau - P.t. troglodytes, kijani - P.t. vellerosus, njano - P.t. verus. |
Funga
- Pan paniscus, Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo (Bonobo au Pygmy Chimpanzee: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo)
- Pan troglodytes, Sokwe Mtu wa Kawaida (Common Chimpanzee)
- Pan t. schweinfurthii, Sokwe Mtu Mashariki (Eastern Chimpanzee: Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania na Zambia)
- Pan t. troglodytes, Sokwe Mtu wa Kati (Central Chimpanzee: Kameruni, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Ginekweta, Gaboni, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo)
- Pan t. vellerosus, Sokwe Mtu wa Nijeria (Nigerian Chimpanzee: Nijeria na Kameruni)
- Pan t. verus, Sokwe Mtu Magharibi (Western Chimpanzee: Senegali, Mali, Gine, Sierra Leone, Liberia, Kodivaa na Ghana)