Simeoni wa Siracusa
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Simeoni wa Siracusa (pia: wa Trier; Siracusa, Sicilia, Italia, 987; Trier, Rheinland-Pfalz, Ujerumani, 1035) alikuwa mkaapweke na shemasi mwenye asili ya Ugiriki[1] aliyeishi sehemu mbalimbali za Palestina na katika Mlima Sinai.
Baada ya matukio mengi aliishia Ujerumani amejifungia katika mnara hadi kifo chake[2][3].
Tarehe 5 Januari 1047, Papa Klementi II alimtangaza mtakatifu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.