From Wikipedia, the free encyclopedia
Makala hii inataja Mnara kama jengo refu. Kwa makala ya Mnara kata ya Wilaya ya Lindi Vijijini, tafadhali fungua hapa.
Mnara (kut. Kar. مناره manara) ni jengo refu na kimo chake kinazidi kipenyo chake mara kadhaa.
Kuna aina nyingi za minara:
Mnara wa kihistoria unaojulikana zaidi ni mnara wa Babeli unaotajwa katika Biblia (kitabu cha Mwanzo 11). Wataalamu wengi huona ilikuwa aina ya zigurat yaani jengo kubwa lililounganisha tabia za mnara na piramidi.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.