Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
San Nicolás de los Garza (pia: San Nicolás) ndiyo mji mkubwa wa tatu jimboni la Nuevo León. Kuna wakazi 476,761 (2005), na pamoja na rundika la mji ni 3,664,331.
Jiji la San Nicolás de los Garza | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Nuevo León |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 476,761 |
Tovuti: www.sanicolas.gob.mx |
Eneo lake ni 33.5 km². Mji upo m 500 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Kuna pia Chuo Kikuu Huru cha Nuevo León (Kihispania: Universidad Autónoma de Nuevo León)
Mji ulianzishwa mwaka 1597.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Nicolás de los Garza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.