Nuevo León
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nuevo León (León mpya, ufalme wa kale katika Hispania) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Monterrey.
Imepakana na Coahuila, Tamaulipas na San Luis Potosí. Upande wa kaskazini kuna mpeka na Marekani (kilomita 15 pekee).
Jimbo lina wakazi wapatao 4,199,292 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 64,210.
Gavana wa jimbo ni Natividad González Parás.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nuevo León kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.