Salim Ahmed Salim
From Wikipedia, the free encyclopedia
Salim Ahmed Salim (amezaliwa 23 Januari 1942) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Kuanzia tarehe 24 Aprili 1984 hadi tarehe 5 Novemba 1985 alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Tanzania. Alifuatwa na Joseph Sinde Warioba.
Heshima na Tuzo
Nishani
Nishani | Nchi | Mwaka | |
---|---|---|---|
![]() |
Nishani ya Nyota ya Afrika | ![]() |
1980 |
![]() |
Nishani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | ![]() |
1985 |
![]() |
Nishani ya Kitaifa cha Vilima Elfu Moja | ![]() |
1993 |
![]() |
Nishani ya Kipendo (Msalaba tukufu) | ![]() |
1994 |
![]() |
Nishani ya Sifa (Afisa tukufu) | ![]() |
1994 |
Medali ya Afrika | ![]() |
1999 | |
![]() |
Nishani ya Kitaifa cha Simba (Afisa tukufu) | ![]() |
2000 |
![]() |
Nishani ya Mito Miwili cha Naili | ![]() |
2001 |
![]() |
Nishani ya El-Athir | ![]() |
2001 |
![]() |
Nishani ya Mono | ![]() |
2001 |
![]() |
Nishani ya Kitaifa cha Mali (Kamanda) | ![]() |
2001 |
![]() |
Nishani ya Masahaba wa O. R. Tambo (Dhahabu) | ![]() |
2004 |
![]() |
Nishani ya Mwenge (Daraja la pili) | ![]() |
2011 |
Shahada za Heshima
Chuo Kikuu | Nchi | Shahada ya Uzamivu | Mwaka | Ref |
---|---|---|---|---|
Chuo Kikuu cha Philippines Los Baños | ![]() | Daktari wa Sheria | 1980 | |
Chuo Kikuu cha Maiduguri | ![]() | Doctor of Humanities | 1983 | |
Chuo Kikuu cha Mauritius | ![]() | Daktari wa Sheria ya Kiraia | 1991 | |
Chuo Kikuu cha Khartoum | ![]() | Daktari wa Sanaa katika Masuala ya Kimataifa | 1995 | |
Chuo Kikuu cha Bologna | ![]() | Daktari wa Falsafa katika Uhusiano wa Kimataifa | 1996 | [1] |
Chuo Kikuu cha Cape Town | ![]() | Daktari wa Sheria | 1998 | [2] |
Chuo Kikuu cha Addis Ababa | ![]() | Daktari wa Sheria | 2003 | [3] |
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.