From Wikipedia, the free encyclopedia
Sao Tome ni mji mkuu wa nchi ya visiwa ya Sao Tome na Principe, karibu na Afrika ya Magharibi.
Jiji la Sao Tome | |
Nchi | Sao Tome na Principe |
---|
Jina limetokana na lile la Kireno la Mtakatifu Thoma.
Mji ulianzishwa na Ureno mwaka 1485 kwenye pwani ya kaskazini-mashariki ya kisiwa chenye jina lilelile katika ghuba ya Guinea.
Mji ulikuwa na wakazi 56,166 mwaka 2005.
Kuna kiwanja cha ndege cha kimataifa na viwanda kadhaa ya matofali, sabuni na vinywaji.
Sao Tome ina shule za msingi hadi sekondari, makanisa, hospitali ya pekee nchini, vituo vya TV na redio.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sao Tome kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.