From Wikipedia, the free encyclopedia
Quincy Anton Promes (alizaliwa 4 Januari 1992) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama winga au mshambuliaji wa klabu ya Hispania iitwayo Sevilla na timu ya taifa ya Uholanzi.
Tarehe 31 Agosti 2018, Promes alijiunga na La Liga katika klabu ya Sevilla kwa mkataba wa miaka mitano (5). Hatua hiyo iliripotiwa ni gharama ya € 20M, ambayo ni mauzo ya rekodi ya klabu ya Spartak Moscow.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Quincy Promes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.