Winga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Winga

Winga (kutoka Kiingereza winger) ni nafasi ya mchezaji katika mpira wa miguu, hockey, mpira wa mikono, rugby n.k. Nafasi hiyo iko upande wa mbele, ama kulia ama kushoto.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Winga kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Winga maarufu Garrincha akimpasia Vavá katika fainali ya Kombe la Dunia la FIFA mwaka 1958.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.