Dionisi wa Aleksandria

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dionisi wa Aleksandria

Dionisi wa Aleksandria, aliyeitwa Mkuu[1], alikuwa Patriarki wa 14 wa mji huo wa Misri[2] tangu tarehe 28 Desemba 248 hadi kifo chake tarehe 22 Machi 264[3].

Thumb
Picha takatifu ya Mt. Dionisi Mkuu.

Mwenye elimu kubwa, alieshimika pia kwa wingi wa mateso aliyovumilia kwa ajili ya imani.

Mwaka 252 tauni ilipozuka mjini, yeye na mapadri wake walijitosa kuwahudumia walioambukizwa.

Baadaye alipelekwa uhamishoni wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian na ya Galienus.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Aprili[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.