From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Valentino alikuwa Papa kwa wiki chache tu kuanzia mwezi Agosti 827 hadi kifo chake mnamo Septemba 827[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Eugenio II akafuatwa na Papa Gregori IV.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.