Papa Gregori IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Gregori IV alikuwa Papa kuanzia mnamo Septemba 827 au tarehe 29 Machi 828 hadi kifo chake tarehe 25 Januari 844[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Valentino akafuatwa na Papa Sergio II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.