From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Urban III (alifariki 20 Oktoba 1187) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba/1 Desemba 1185 hadi kifo chake[1]. Alitokea Milano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Uberto Crivelli.
Alimfuata Papa Lucius III akafuatwa na Papa Gregori VIII.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.