From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Gregori VIII (takriban 1100 – 17 Desemba 1187) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21/25 Oktoba 1187 hadi kifo chake[1]. Alitokea Benevento, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alberto wa Morra.
Alimfuata Papa Urbano III akafuatwa na Papa Klementi III.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.