From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Benedikto XV (21 Novemba 1854 – 22 Januari 1922) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3/6 Septemba 1914 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacomo della Chiesa.
Alimfuata Papa Pius X (1903-14) akafuatwa na Papa Pius XI.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.