Oswadi wa York
From Wikipedia, the free encyclopedia
Oswadi wa York (alifariki 29 Februari 992) alikuwa mmonaki kwanza kanoni, baadaye aliyepata kuwa askofu wa Worcester kuanzia mwaka 971 halafu wa York nchini Uingereza kuanzia mwaka 972 hadi kifo chake.

Msomi mfurahivu na mpole, alichangia urekebisho wa Kanisa na wa umonaki kwa kuingiza kanuni ya Mt. Benedikto katika monasteri mengi.
Alifariki wakati wa kuwaosha miguu maskini kama ilivyokuwa kawaida yake wakati wa Kwaresima.
Tangu kale Paulinus anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.