From Wikipedia, the free encyclopedia
Niseta Mgoti (pia: Nikita; kaskazini kwa mto Danubi[1], 340 hivi - 370 hivi) alikuwa Mkristo wa kabila la Wagoti ambaye kwa ajili ya imani yake ya Kikatoliki alichomwa moto kwa amri ya mfalme Atanariki, mfuasi wa Ario [2][3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba[4].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.