From Wikipedia, the free encyclopedia
Nazaria Ignasya wa Mt. Teresa (Madrid, Hispania, 10 Januari 1889 – Buenos Aires, Argentina, 6 Julai 1943) alikuwa bikira mwanzilishi wa shirika la masista Misioneras Cruzadas de la Iglesia.
Alifanya umisionari katika nchi mbalimbali za Amerika ya Kilatini[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Septemba 1992, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 14 Oktoba 2018.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.