From Wikipedia, the free encyclopedia
Sakarya ni jina la mkoa uliopo katika eneo la pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mkoa unapakana na baadhi ya mikoa kama vile Kocaeli kwa upande wa magharibi, Bilecik kwa upande wa kusini, Bolu kwa upande wa kusini-mashariki, na Düzce kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wa Sakarya ni Adapazarı.
Mkoa wa Sakarya | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Sakarya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 4,895 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 756,168 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 54 |
Kodi ya eneo: | 0154 |
Tovuti ya Gavana | http://www.sakarya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/sakarya |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sakarya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.