Düzce ni mkoa uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi na unakwenda moja kwa moja hadi kuja kukutana na mji wa Istanbul na Ankara. Mji mkuu wake ni Düzce. Kuna baadhi ya sehemu zilizoharibiwa na Wagiriki wa Kale.

Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Düzce nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Düzce
Maeneo ya Mkoa wa Düzce nchini Uturuki
Thumb
Maelezo
Kanda:Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo:3,641 (km²)
Idadi ya Wakazi329,321 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni:81
Kodi ya eneo:0380
Tovuti ya Gavanahttp://www.duzce.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/duzce
Funga

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Düzce umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Düzce kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.