From Wikipedia, the free encyclopedia
Maria Bertila Boscardin (jina la awali: Anna Francesca; Brendola, 6 Oktoba 1888 – Treviso, 20 Oktoba 1922) alikuwa bikira wa Italia kaskazini ambaye, kisha kujiunga na shirika la kitawa la Masista Walimu wa Mt. Dorotea la Vicenza, alihudumia wagonjwa hospitalini kwa upendo wa ajabu ili wapate afya wa mwili na wa roho[1].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XII tarehe 8 Juni 1952, halafu mtakatifu na Papa Yohane XXIII tarehe 11 Mei 1961.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.