From Wikipedia, the free encyclopedia
Kifang ni lugha ya Kibantu nchini Guinea ya Ikweta, Gabon, Kamerun na Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wafang. Isichanganywe na Kifang-Wum. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kifang imehesabiwa kuwa watu 588,000 nchini Gabon, 297,000 nchini Guinea ya Ikweta na 8100 nchini Kongo. Pia kuna watu 121,000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kifang iko katika kundi la A70.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.