From Wikipedia, the free encyclopedia
Isaka Jogues, S.J. (Orleans, Ufaransa 10 Januari 1607 – Ossernenon, Marekani, 18 Oktoba 1648) alikuwa padri Mjesuiti ambaye mwaka 1636 alijiunga na wamisionari kwa Waindio wa Amerika Kaskazini[1].
Kisha kufanywa na baadhi yao mtumwa, alikatwa vidole, akauawa kwa kupasuliwa kichwa kwa shoka kwa ajili ya imani yake [2].
Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 21 Juni 1925, na kuwa mtakatifu tarehe 29 Juni 1930[3].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.