Heri
Hali ya kuwa na hisia za kupendeza From Wikipedia, the free encyclopedia
Hali ya kuwa na hisia za kupendeza From Wikipedia, the free encyclopedia
Heri (kwa Kilatini: Felicitas; kwa Kigiriki: Eudaimonia) ni hali ya raha kamili inayotazamiwa na watu wa dini mbalimbali kuwa itapatikana baada ya kifo na kudumu milele. Ni zaidi sana kuliko furaha.
Katika Ukristo heri inatazamwa kuwa ndiyo lengo kuu la viumbehai kadiri ya mpango wa Muumba, kama alivyoeleza Thomas Aquinas[1]: "Wote wanakubaliana kuhusu lengo kuu, yaani heri."[2] Aquinas alikubali hoja ya Aristotle ya kwamba heri inahitaji kutafutwa kwa kujipatia maadili.[3]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.