Ellen Greene

mwigizaji na mwimbaji wa marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Ellen Greene
Remove ads

Ellen Greene (alizaliwa Februari 22, 1951) ni mwigizaji na mwimbaji wa Marekani. Amekuwa mwimbaji kwa muda mrefu, pia kama mwigizaji kwenye maonyesho mengi ya jukwaani, haswa majukwaa ya kudansi muziki, na vilevile amecheza katika filamu nyingi na safu za runinga. Majukumu yake ya uigizaji yanayojulikana zaidi ni kama Audrey katika muundo wa filamu wa Little Shop of Horrors, na kama Vivian Charles katika mfululizo wa ABC Pushing Daisies.

Thumb
Ellen Greene
Remove ads

Maisha binafsi

Greene alizaliwa huko Brooklyn, New York. Mama yake alikuwa mshauri, na baba yake alikuwa daktari wa meno. [1] Greene ni Myahudi . [2] Alisoma Shule ya Upili ya W. Tresper Clarke huko Westbury, New York . Alitumia msimu wa joto katika Kambi za Cejwin huko Port Jervis, New York, ambapo aliigiza wakati wa maonyesho ya muziki, pamoja na jukumu la Tzeitel uanaaji wa 1966 wa Fiddler on the Roof . Alikuwa na uhusiano na mpiga pupa Martin P. Robinson . [3] [4] Ndoa yake ya kwanza ilikuwa Tibor Hardik. Aliolewa na Christian Klikovits mnamo Septemba 25, 2003; wameachana kwa sasa. [5]

Remove ads

Tanbihi

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads