Diaspora ya Waafrika

From Wikipedia, the free encyclopedia

Diaspora ya Waafrika inahusu jumuia za watu duniani kote ambazo zina asili yake katika Waafrika waliohama bara lao au waliohamishwa wakati wa historia kuandikwa[1].

Ukweli wa haraka
African diaspora
Funga

Katika hizo, kubwa zaidi ni zile za Brazil, Marekani na Haiti.[2]

Umoja wa Afrika unafafanua hivi mtawanyiko[3] huo:

"[unaundwa] na watu wenye asili ya Afrika ambao wanaishi nje ya bara hilo, bila kujali uraia na utaifa wao na wana nia ya kuchangia maendeleo ya bara na ujenzi wa Umoja wa Afrika."

Hati ya kuuanzisha inatamka kwamba

"utaalika na kuhimiza diaspora ya Waafrika ishiriki kikamilifu kama sehemu muhimu ya bara letu."[4]

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.