From Wikipedia, the free encyclopedia
Carl Sandburg (6 Januari 1878 – 22 Julai 1967) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1919, alipokea tuzo maalumu ya Pulitzer kwa mashairi yake. Mwaka wa 1940, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa wasifu yake ya Rais Abraham Lincoln.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carl Sandburg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.