Bruce Willis

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bruce Willis

Walter Bruce Willis (amezaliwa tar. 19 Machi 1955) ni mwgizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kuanzia maiaka ya 1980 hivi, na akabaki kuwa kama mwigizaji kiongozi pia mwigizaji msaidizi katika baadhi ya filamu zilizo kuwa zinaigizwa huko Hollywood.

Ukweli wa haraka Bruce willis ...
Bruce willis
Thumb
Willis mnamo 2010
Jina la kuzaliwa Walter Bruce Willis
Alizaliwa 19 Machi 1955
Ujerumani
Kazi yake Mwigizaji
mwimbaji
mtaarishaji.
Ndoa Demi Moore (1987-2000)
Watoto Rumer Willis (kazliwa.1988)
Funga

Willis heshima ilikuja kuwa kubwa pale alipoigiza filamu ya Die Hard mnamo mwaka 1988, na kutumia jina la John McClane. Willis amemuoa mwgizaji filamu mwenzake bi.Demi Moore na wana watoto watatu kabla ya kutarikiana mnamo mwaka wa 2000, hiyo ilikuwa baada ya miaka kumi na tatu ya ndoa.

Willis amepokea tuzo nyingi na kupewa heshima tofauti na kazi yake, kwa kudhihirisha na kutoa baadhi msaada wake katika kikosi cha jeshi la Marekani, kujihusisha pia na maswala ya kisiasa.

Maisha ya awali

Filamu alizoigiza

Maelezo zaidi Mwaka, Jina la filamu ...
MwakaJina la filamuJina alilotumiaMengineyo
1980The First Deadly SinMan Entering Diner as Delaney Leavesextra
1982The VerdictCourtroom Observerextra
1985A Guru ComesUnknown roleextra
1987Blind Date Walter Davis
1988 in film|1988The Return of Bruno Bruno Radolini
Sunset Tom Mix
Die HardJohn McClane$5,000,000 salary[1]
1989 in film|1989That's AdequateHimselfcameo
In CountryEmmett Smith
Look Who's TalkingMikeyvoice
1990 in film|1990Die Hard 2John McClane$7,500,000 salary[2]
Look Who's Talking TooMikeyvoice
The Bonfire of the Vanities Peter Fallow$3,000,000 salary[2]
1991 in film|1991Mortal ThoughtsJames Urbanski
Hudson HawkEddie 'Hudson Hawk' Hawkinsalso co-wrote plot and theme music
Billy Bathgate Bo Weinberg
The Last Boy ScoutJoseph Cornelius 'Joe' Hallenbeck
1992 in film|1992The PlayerHimselfcameo
Death Becomes HerDr. Ernest Menville
1993 in film|1993National Lampoon's Loaded Weapon 1 John McClanecameo
Striking DistanceTom Hardy
1994 in film|1994North Narrator
Color of NightDr. Bill Capa
Pulp Fiction Butch Coolidge$800,000 salary[2]
Nobody's Fool Carl Roebuck
1995 in film|1995Die Hard with a VengeanceJohn McClane
Four RoomsLeouncredited
Twelve MonkeysJames Cole
1996 in film|1996Last Man Standing John Smith
Beavis and Butt-head Do AmericaMuddy Grimesvoice
1997 in film|1997The Fifth ElementKorben Dallas
The JackalThe Jackal
1998 in film|1998Mercury RisingArt Jeffries
Armageddon Harry S. Stamper$20,000,000 salary plus percentage of profits[3]
The SiegeMajor General William Devereaux$5,000,000 salary[4]
Apocalypse Trey Kincaid
1999 in film|1999Franky Goes to HollywoodHimselfShort subject
Breakfast of Champions Dwayne Hoover
The Sixth SenseDr. Malcolm Crowe$100,000,000 salary (includes salary, gross, & video revenue); highest earnings for any actor at the time[2][3]
The Story of UsBen Jordan
2000 in film|2000The Whole Nine Yards Jimmy 'The Tulip' Tudeski
The Kid Russell Duritz$20,000,000 salary[2]
Unbreakable David Dunn$20,000,000 salary[2]
2001BanditsJoe Blake
2002 in film|2002Hart's WarCol. William A. McNamara$22,500,000 salary[2]
Grand ChampionCEOcameo
2003 in film|2003Tears of the SunLieutenant A.K. Waters
Rugrats Go Wild!Spikevoice
Charlie's Angels: Full ThrottleWilliam Rose Baileycameo
2004 in film|2004The Whole Ten YardsJimmy 'The Tulip' Tudeski
Ocean's TwelveHimselfcameo
2005 in film|2005Hostage Jeff Talley$25,000,000 salary
Sin City John Hartigan$5,000,000
2006 in film|2006Alpha DogSonny Truelove
16 BlocksJack MosleyProducer, $20,000,000 salary
Fast Food Nation Harry Rydell
Lucky Number SlevinMr. Goodkat$7,000,000
Over The HedgeRJvoice$15,000,000
2007 in film|2007The Astronaut FarmerThe Coloneluncredited
Perfect Stranger Harrison Hill$15,000,000
GrindhouseLt. Muldoon$1,000,000
Nancy DrewBrucecameo
Live Free or Die HardJohn McClane$25,000,000+20% of all gross
2008Assassination of a High School PresidentPrincipalpost-production
2009 in film|2009Morgan's Summit---pre-production
The Last Full MeasureWilliam H. Pitsenbargerpre-production
2010The Surrogates---announced
Funga

Televisheni

Maelezo zaidi Mwaka, Jina la filamu ...
MwakaJina la filamuJina alilotumiaMengineyo
1984Miami ViceTony AmatoNo Exit"
1985The Twilight ZonePeter Jay Novinsepisode "Shatterday"
1985-1989 in television|1989Moonlighting David Addison Jr.67 episodes
1996-1997 in television|1997Bruno the KidBruno the Kidvoice
1997Mad About YouAmnesia patientepisode "The birth part 2"
1999Ally McBealDr. Nickleepisode "Love Unlimited"
2000FriendsPaul Stevensthree episodes
2002True West Leetelevision movie
2005That '70s ShowVicepisode "Misfire"
Funga

Filamu taarisha

Maelezo zaidi Mwaka, Jina la filamu ...
MwakaJina la filamuMengineyo
1988Sunset co-executive producer
2002The Crocodile Hunter: Collision Courseproducer
2007 in film|2007The Hip Hop Projectexecutive producer
Live Free or Die Hardproducer
Funga

Albamu alizotoa

  • Return of Bruno, 1987, Razor & Tie, OCLC 16657516
  • If It Don't Kill You, It Just Makes You Stronger, 1989, Motown / Pgd, OCLC 21322754.
  • Classic Bruce Willis: The Universal Masters Collection, 2001, Polygram Int'l, OCLC 71124889.

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.