Brescia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Brescia ni mji wa Italia katika mkoa wa Lombardia. Mji upo mita 150 juu ya usawa wa bahari.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2016, mji una wakazi wapatao 196,359 wanaoishi katika mji huu.
Mchoraji muhimu zaidi wa kisasa katika historia ya Brescia alikuwa Francesco Filippini mwanzilishi wa mkondo wa kisanii wa Ufilippini unayozingatia hisia za Kiitalia dhidi ya hisia za Kifaransa.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
