Bea Arthur
Muigizaji wa Marekani, mwimbaji na mchekeshaji (1922-2009) From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Beatrice Arthur (jina la kuzaliwa Bernice Frankel; Mei 13, 1922 – Aprili 25, 2009) alikuwa mwigizaji, mchekeshaji, mwimbaji, na mwanaharakati wa Marekani.
Arthur alianza taaluma yake jukwaani mwaka 1947. Alishinda tuzo mbalimbali kama vile mnamo mwaka 1966 alishinda tuzo ya Tony Award for Best Featured Actress in a Musical baada ya kucheza Vera Charles katika muziki wa Mame. Aliendelea kucheza Maude Findlay kwenye sitcom ya All in the Family na kuonekana 1971-1972.[1]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads