From Wikipedia, the free encyclopedia
Andazi (kutoka kitenzi "andaa") ni aina ya chakula kitamu inayotengenezwa kwa kutumia ngano, hamira, mafuta, sukari na maji.
Watu wengi hupenda kutumia maandazi kama kitafunwa pamoja na kinywaji cha moto wakati wa kifunguakinywa.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.