From Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa aina ya fasihi simulizi tazama makala ya Ngano (hadithi)
Ngano (Triticum L.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Ngano ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za ngano ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au baridi kali.
Ngano ni kati ya nafaka muhimu zaidi zinazoliwa na watu pamoja na mhindi na mpunga. Ngano hutumiwa hasa kwa kuisaga kuwa unga. Unga wa ngano hutumiwa kwa mkate, chapati na pasta.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ngano kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.