From Wikipedia, the free encyclopedia
Alan Dugan (12 Februari 1923 – 3 Septemba 2003) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1962 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Kitabu chake cha kwanza kilichapishwa mwaka 1961 na kushinda kama mshairi kijana.
Kitabu chake cha mwisho kiliitwa kwa jina la Poems Seven: New and Complete Poetry, kilichapishwa mwaka 2001 na Seven Stories Press kutoka New York City anakilishinda tena kwa mara ya pili tuzo za National Book Award
Dugan alikulia nchini Jamaica, na kupigana vita vya pili vya dunia ambapo alijifunza pia ushairi lakini kabla ya hapo hakuwa mtu wa kupendelea mashairi.
Aliishi katika jimbo la Massachusetts, ambapo alikuwa mwanachama wa katika kituo cha Fine Arts Work Center.
Alan Dugan alimuoa mwanasanaa Judith Shahn, na alifariki kwa ugonjwa wa pneumonia mnamo Septemba 3, 2003, akiwa na umri wa miaka 80.[1]
Katika maisha yake Dugan alipata tuzo zifuatazo
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.