Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Al Jazeera English ni stesheni ya runinga ya kutangaza habari na taarifa za mambo leo masaa ishirini na nne kwa lugha ya Kiingereza iliyo na makao yake makuu ni mjini Doha, Qatar.
Stesheni hii huonyesha habari za makala na uchambuzi, mijadala, taarifa za mambo leo, biashara, teknolojia, na michezo. Wao hudai kuwa stesheni ya kwanza ya kimataifa inayotangaza kwa mtandao wa kisasa (high-definition).[1] Kauli yake mbiu ni Setting the News Agenda.
Hii ni stesheni ya kwanza inayotangaza kwa lugha ya Kiingereza iliyo na makao yake makuu kwenye nchi iliyo Mashariki ya Kati.[2]
Al Jazeera ina vituo vinne vikuu kote duniani, mjini London, Washington, DC, Kuala Lumpur na Doha. Ina milikiwa na serikali ya Qatar.[3] Hii ni moja kati ya stesheni chache iliyo na ofisi zake mjini Gaza na Harare.
Al Jazeera ilianzishwa mnamo 15 Novemba 2006. Stesheni hii ilikuwa iitwe Al Jazeera International lakini hili jina lilibadilishwa miezi tisa kabla ya uzinduzi.[4]
Stesheni hii ililenga kufikia nyumba milioni 40, lakini ilipitisha lengo hili kwa kuweza kufikia nyumba milioni 80.[5]
Kando na vituo vyake vinne, Al Jazeera ina ofisi zingine 21.
Kituo cha Kutangaza: Doha
Watangazaji habari: Jane Dutton, David Foster, Imran Garda, Shiulie Ghosh, Darren Jordon, Maryam Nemazee, Sohail Rahman, Kamahl Santamaria, Lauren Taylor, Sami Zeidan, Hoda Abdel-Hamid, Hashem Ahelbarra, James Bays, John Cookson, Clayton Swisher, Sherine Tadros, Nadim Baba, Imran Kahn, na Mike Hanna.
Ofisi na watangazaji wake
Beirut: Rula Amin, Zeina Khodr
Jerusalem: Jacky Rowland
Gaza: Ayman Mohyeldin na Sherine Tadros
Ramallah: Nour Odeh
Tehran: Alireza Ronaghi
Ofisi: mjini Cairo, Abidjan, Nairobi, Johannesburg, na Harare.
Wanahabari: Amr El Kahky, Haru Mutasa, Mohammed Adow, Mohamad Vall, Yvonne Ndege
Kituo cha utangazaji: mjini London
Watangazaji habari: Hamish Macdonald, Felicity Barr, Stephen Cole, Barbara Serra, Alan Fisher, Richard Bestic, Tim Friend, Nazanine Moshiri.
Ofisi na watangazaji wake:
Athens: Barnaby Phillips
Moscow. Neave Barker
Kituo cha utangazaji: Washington DC
Wanahabari: Ghida Fakhry, Anand Naidoo, Shihab Rattansi, Rosiland Jordan, Nick Spicer, Kimberly Halkett na Rob Reynolds
Ofisi na wanahabari wake:
Bogota: Monica Villamizar
Buenos Aires: Lucia Newman, Teresa Bo
Caracas: Mariana Sanchez and Lucrecia Franco
New York: Kristen Saloomey, John Terret
Mexico City: Franc Contreras
Sao Paulo: Gabriel Elizondo
Kituo cha utangazaji: mjini Kuala Lumpur
Wanahabari: Teymoor Nabili, Divya Gopalan, Laura Kyle, Veronica Pedrosa, Tony Birtley, Casey Kauffman, na Selina Downes
Ofisi na wanahabari wake
Beijing: Tony Cheng na Melissa Chan
Islamabad: Kamal Hyder
Jakarta: Step Vaessen
Delhi: Matt Mcclure
Manila: Marga Ortigas
Wafanyikazi wanaojulikana kufanya kazi kwa Al Jazeera ni[6] (waajiriwa wa awali wako kwenye mabano):
|
|
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.