From Wikipedia, the free encyclopedia
Air Namibia ni ndege ya kitaifa ncini Namibia, iliyo na makao yake kwenye jumba la Trans Namib mjini Windhoek.[1] Inahudumu safari za nchini Namibia na za ng'ambo. Makao ya ndege zake ni kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Windhoek Kosea Kutako.
Ndege hii ilianzishwa mnamo 1946 na kampuni ya South West Air Transport. Ilibadilishwa jina na kuwa South West Airways mnamo 1959. Serikali ya Namibia ilinunua hisa zake nyingi mnamo 1982 na kuifanya kuwa ndege ya kitaifa mnamo 1987. Ilibadilishwa jina tena na kuwa Air Namibia mnamo Oktoba 1991 baada ya nchi hii kupata uhuru.
Mji | Ufupisho | Jina kamili la uwanja wa ndege | Ndege | Maelezo | |
---|---|---|---|---|---|
IATA | ICAO | ||||
Namibia | |||||
Lüderitz | LUD | FYLZ | Lüderitz Airport | Be1900 | SW856 |
Katima Mulilo Airport | MPA | FYMP | Mpacha Airport | Be1900 | SW405 |
Ondangwa | OND | FYOA | Ondangwa Airport | Be1900 | SW154 & SW156 |
Oranjemund | OMD | FYOG | Oranjemund Airport | Be1900 | SW856 & SW858 |
Walvis Bay | WVB | FYWB | Walvis Bay Airport | Be1900/B737 | SW856/SW748 |
Windhoek | ERS | FYWE | Eros Airport | Makao ya ndege | |
Windhoek | WDH | FYWH | Windhoek Hosea Kutako International Airport | Makao ya ndege | |
Angola | |||||
Luanda | LAD | FNLU | Quatro de Fevereiro Airport | B737 | SW172 |
Botswana | |||||
Maun | MUB | FBMN | Maun Airport | Be1900 | SW140 |
Ghana | |||||
Accra | ACC | DGAA | Kotoka International Airport | A343 | kwa kupitia mji wa Johannesburg |
Afrika Kusini | |||||
Cape Town | CPT | FACT | Cape Town International Airport | B737 | SW742 & SW744 |
Johannesburg | JNB | FAJS | OR Tambo International Airport | B737 | SW710 & SW712 |
Zambia | |||||
Lusaka | LSK | FLLS | Lusaka International Airport | B737 | kwa kupitia Johannesburg |
Zimbabwe | |||||
Victoria Falls | VFA | FVFA | Victoria Falls Airport | Be1900 | SW140 |
Mji | Ufupisho | Uwanja wa ndege | Ndege | Maelezo | |
---|---|---|---|---|---|
IATA | ICAO | ||||
Ujerumani | |||||
Frankfurt | FRA | EDDF | Frankfurt International Airport | A343 | SW285/SW286 |
Ndege za kwenda Windhoek and London Gatwick zilizimamishwa mnamo Mei 2009.[2]
Air Namibia ina ndege zifuatazo (hadi 29 Novemba 2009):
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.