From Wikipedia, the free encyclopedia
Aikardi wa Jumieges (Poitiers, 624 – 15 Septemba 687 hivi) tangu ujanani alikuwa mmonaki akaongoza kwa miaka 30 jumuia aliyoianzisha. Mwaka 684 aliachiwa na Filibati wa Tournus monasteri yake iliyofuata kanuni ya Mt. Kolumbani, akaiongoza kama abati hadi kifo chake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.